Fanya kazi au kusoma kwa ufanisi zaidi na YESIDO LP01 Laptop Desk Holder! Hiki kibonzo imara kimeundwa ili kuweka laptop yako kwa usahihi, kikikupa faraja yakutumia Laptop yako kwa muda mrefu.
• Kifaa hiki kina uzito mwepesi ni rahisi kubeba na kinaendana na laptop za ukubwa mbalimbali.
• Tumia YESIDO LP01, kuepuka maumivu ya mogongo na shingo
• Ni bora kwa matumizi ya ofisi au nyumbani.
Jipatie yako sasa 🙏
Reviews
Clear filtersThere are no reviews yet.